VITABU VYA KILIMO


EWE mkulima achana na tabia ya kulima kimazoea, lima kitaalamu na kibiashara

jipatie vitabu vya kilimo upate kutambua ni wapi unapokosea na wapi unapaswa kuboresha

BEI YA VITABU NI
HARDCOPY TSH 10,000/=
SOFTCOPY SH 5,000/= UNATUMIWA KWA EMAIL AU WHATSAPP

TUNAPATIKANA MBEYA MJINI  0782723170 AU WHATSAPP 0743512580

VITABU TULIVYONAVYO NI PAMOJA NA
  1. KILIMO CHA NYANYA
  2. KILIMO CHA PILIPILI HOHO 
  3. KILIMO HAI ( BILA KUTUMIA KEMIKALI )
  4. KILIMO CHA VITUNGUU MAJI NA SWAUMU 
  5. KILIMO CHA MATIKITI MAJI 
  6. KILIMO CHA MAHINDI NA MAHARAGE 
  7. KILIMO CHA PARACHICHI 
  8. KILIMO CHA PAPAI
  9. KILIMO CHA STRAWBERRY
  10. KILIMO CHA MATANGO
  11. KILIMO CHA KARANGA 
  12. KILIMO CHA KAHAWA 
  13. KILIMO CHA KABICHI 
  14. KILIMO CHA PILIPILI MBUZI (MWENDOKASI)
  15. KILIMO CHA MAZAO YA BUSTANI KAMA TANGAWIZI, KAROTI, BILINGANYA NK
  16. KILIMO CHA MIGOMBA (NDIZI) 
  17. KILIMO CHA MIHOGO 
  18. KILIMO CHA VIAZI MVIRINGO 
  19. KILIMO CHA UYOGA 
  20. KILIMO CHA MBOGAMBOGA
KWA WAKAZI WA MBEYA TUTAKULETEA POPOTE PALE ULIPO NDANI YA JIJI BURE

OFA KWA ANAYENUNUA KITABU KIMOJA CHA MFUMO WA SOFTCOPY PEKEE ATAPATA 2 VINGINE BURE ANAVYOVIPENDA
BY
FRANK E MGINA

No comments:

Post a Comment